Watu watano wameuawa na wengine wengi kuachwa bila makao baada ya kimbunga kwa jina Chaba kufika maeneo ya Korea Kusini kikiwa kimeandamana na upepo mkali na mvua. Miji ya Busan na Ulsan kusini mwa ...