Rais wa Gabon Ali Bongo ameomba msaada baada ya jeshi kumuondoa madarakani katika mapinduzi na kumuweka katika kizuizi cha nyumbani. Akizungumza siku ya Jumatano kutoka kwa kile alichosema ni makazi ...
Katika taarifa ndefu iliyotolewa siku ya Alhamisi, Julai 3, Sylvia na Noureddin Bongo wanasisitiza mateso walioyapata kutoka kwa mamlaka ya Gabon kwa. Wanasema kuwa walijumuisha kwenye faili la ...
"Serikali inapenda kuthibitisha kwa nguvu zote kwamba hawajafanyiwa aina yoyote ya mateso au unyanyasaji kama ilivyoelezwa na mawakili wao," alisema msemaji wa serikali Laurence Ndong siku ya Jumatano ...
Rais wa Gabon aliyeondolewa madarakani Ali Bongo Ondimba yuko chini ya kizuizi cha nyumbani, shirika la habari la AFP linawanukuu maafisa wa kijeshi wakisema. Picha za setilaiti zinaonyesha radi ...
Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba, alijua fika kuhusu kitisho cha mapinduzi ya kijeshi katika sehemu yake ya ulimwengu. Lakini aliapa kwamba jambo hilo lisingetokea kwake. Wachambuzi wanasema anaweza ...
Kiongozi wa Gabon Ali Bongo Ondimba, anayewania muhula wa tatu, atachuana na wagombea 18 katika uchaguzi wa rais utakaofanyika mwezi ujao. Familia ya Bongo imetawala taifa hilo la Afrika Magharibi kwa ...