Mechi ijayo katika Ligi ya Mabingwa Afrika ni dhidi ya Taraj SC ya Tunisia ambayo nje ya nchi yao inafahamika zaidi kama ...
‎KESHOKUTWA kitawaka katika Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza ambapo mashabiki wa Simba na Pamba Jiji watapomenyana katika ...
Katika ardhi yenye ladha ya bahari na harufu ya historia, Zanzibar patakuwa na mchezo wa haja Jumapili hii: Simba SC ya Tanzania wakikabiliana na wageni waliokuja kushangaza, Stellenbosch FC ya Afrika ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...