(London) – Mamia ya maelfu ya watu wenye matatizo ya akili wamefungwa kwa minyororo katika maeneo mengi duniani, Shirika la Human Rights Watch limesema kwenye ripoti iliyotolewa leo. Wanaume, wanawake ...